AACHWE AONDOKE SIMBA CLATOUS CHAMA/SURA YA PILI YA KOCHA

KOCHA Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha ameonyesha sura yake ya pili baada ya ile ya mbinu kuonekana na sasa inaonekana ile ya maamuzi.

Ikiwa Clatous Chama anataka kuondoka ndani ya timu hiyo basi ni wakati muafaka wa Simba kumruhusu aende sio yeye tu hata wengine ambao watakuwa na tatizo la nidhamu wapewe ruhusa kuondoka