SportsAJABU NA KWELI WALITOA ZAWADI MAPEMA BONGO Saleh12 months ago01 mins KUNA wakali ndani ya Bongo ambao mapema walikamilisha mpago kazi wa kutoa zawadi kwa mashabiki wao katika mechi za ushindani ambazo walicheza. Ipo wazi kuwa Azam FC ni namba moja kwenye msimamo huku wakifuatiwa na Yanga na namba tatu ni Simba. Post navigation Previous: HAKUNA MBABE, UFUNGUZI WA AMAAN COMPLEX WAFANANext: MSHAMBULIAJI HUYU WA MABAO ANAKUJA YANGA