WAGOSI WA KAYA WANAJISUKA UPYA
UONGOZI wa Coastal Unioni, umesema unaendelea kulitumia dirisha hili dogo la usajili kuboresha kikosi chao kwa kuzingatia ripoti ya Kocha Mkuu, David Ouma aliyoiwasilisha mapema kabla ya usajili kufunguliwa Desemba 16, mwaka huu. Ofisa Habari Coastal Union, Abbas El-Sabry, amesema ripoti ya kocha mkuu imeanza kufanyiwa kazi haraka kwa sababu hakuna muda wa kupoteza, huku…