BENCHIKHA AFUATA WINGA NIGERIA
INAELEZWA mabosi wa Simba wapo kwenye mazungumzo na winga wa klabu ya Sporting Lagos ya Nigeria, Jonathan Alukwu kufuatia maagizo ya kocha mkuu wa timu hiyo, Abdelhak Benchikha katika usajili wa dirisha dogo. Taarifa za uhakika zilizotufikia Championi Ijumaa kutoka ndani ya klabu hiyo zinasema kuwa klabu hizo mbili zimeanza mazungumzo hayo na nyota huyo…