NGOMA NZITO KWA SINGIDA FOUNTAIN GATE V KMC

SINGIDA Fountain Gate imegawana pointi mojamoja na KMC kàtika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa leo Desemba 11. Ni Uwanja wa Black Rhino mchezo huo umechezwa kwa timu zote kushuka uwanjani kusaka pointi tatu muhimu. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Singida Fountain Gate 0-0 KMC. Ngoma imekuwa nzito kwa pande zote mbili kufanikisha malengo…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE SASA NI BLACK RHINO

UONGOZI wa Singida Fountain Gate umeweka wazi kuwa hasira zote walizoanza nazo kuoyesha Uwanja wa Liti kwa mechi zao za nyumbani zinahamia Uwanja wa Black Rhino. Uwanja huo wa Black Rhino Academ upo Karatu utatumiwa na Singida Fountain Gate baada ya Uwanja wa Liti kufungiwa kutokana na kukosa ubora. Ofisa Habari wa Singida Fountain Gate,…

Read More

FULHAM WATEMBEZA MKONO HUKO

FULHAM walichokifanya dhidi ya West Ham Desemba 10 ikiwa ni mchezo wa Ligi Kuu England ilikuwa ni balaa zito. Baada ya dakika 90 ubao wa ulisoma Fulham 5-0 West Ham huku mabao matano yakiwa kwenye mkoba wao pamoja na pointi tatu muhimu. Ni Carlos Vinicius dakika ya 89 alikuwa mchezaji wa mwisho kukamilisha 5G. Raul…

Read More

KIMATAIFA YANGA NA SIMBA MAMBO MAGUMU/ WAAMUZI HESABU

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba na Yanga mambo ni magumu kwenye anga la kimataifa kutokana na kushindwa kufanya vizuri kwenye mechi zao tatu katika hatua ya makundi. Timu zote mbili zina pointi mbili baada ya kucheza mechi tatu ndani ya dakika 270 hivyo kuna kazi kubwa kwa wawakilishi hawa wote kufanya…

Read More

NYOTA YANGA MWIBA MKALI, KAZI KIMATAIFA INAENDELEA

KIUNGO wa Yanga Pacome Zouzoua amekuwa ni mwiba mkali kwa wapinzani kutokana na uwezo wake anaoonyesha ndani ya uwanja katika mechi za kimataifa. Ikumbukwe kwamba Desemba 8 Yanga iligawana pointi mojamoja na Klabu ya Medeama kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi ambapo bao la Yanga lilifungwa na kiungo Pacome. Hilo linakuwa…

Read More