SportsSIMBA YAPANIA KULA SAHANI MOJA NA WAARABU Saleh1 year ago01 mins KIKOSI cha Simba kina kazi ya kusaka ushindi mbele ya Waarabu wa Morocco, Wydad Casablanca Desemba 9 ukiwa ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo wameweka wazi kuwa watakula sahani moja na wapinzani wao hao kusaka pointi tatu muhimu. Post navigation Previous: IHEFU WAKOMBA POINTI ZA TABORA UNITEDNext: MATAJIRI WA DAR MOTO WAO SIO WAKITOTO