>

CHAMA KALIAMSHA HUKO NDANI YA SIMBA

CLATOUS Chama, mwamba wa Lusaka ameanza kujipata taratibu baada ya kuonyesha ubora uliokosekana kwa muda mrefu ndani ya uwanja. Chini ya Roberto Oliveira, mchezo wa mwisho kufanya umwamba ilikuwa dhidi ya Power Dynamos alipofunga mabao mawili, ubao uliposoma Power Dynamos 2-2 Simba baada ya hapo hakuwa kwenye ubora wake. Ikumbukwe kwamba alikuwa ndani ya Uwanja…

Read More

PATA BONASI YA KASINO MPAKA 2,500,000/= TZS UKIJISAJILI MERIDIANBET

Unaijua 200% inakuaje? Meridianbet msimu huu wa Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya unapojisajili, ukaongeza salio kwenye akaunti yako kisha kucheza kasino ya mtandaoni au kubashiri soka unapatiwa bonasi ya mgao wa 2,500,000/=TZS Kila mchezaji aliyejisajili  kwenye tovuti  ya Meridanbet.co.tz au Meridianbet APP na kuweka pesa  kwa mara kwanza kiasi kinachoanzia  TZS 10,000  na zaidi kisha kucheza …

Read More

TWIGA STARS YATUSUA WAFCON UGENINI

BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya wanawake Twiga Stars ambayo  imefuzu kucheza mashindano ya WAFCON 2024 yatakayofanyika nchini Morocco.amesema kuwa jitihada za kupata ushindi zilishindikana lakini wachezaji walijituma. Twiga imefuzu baada ya ushindi wa jumla wa mabao 3-2 dhidi ya Togo ambapo kila mmoja kashinda kwenye mechi aliyokuwa nyumbani. Ikumbukwe kwamba Twiga…

Read More

FEISAL SALUM WA AZAM FC AMPOTEZA MAXI WA YANGA

NI Feisal Salum nyota wa Azam FC amempoteza kiungo wa kazi ndani ya Yanga Maxi Nzengeli kwenye kuwania tuzo ya mchezaji bora wa Novemba. Fei ameibuka kuwa mchezaji bora wa mwezi Novemba akiwapoteza Maxi Nzengeli wa Yanga na Kipre Jr. wa Azam FC ambao aliingia nao kwenye fainali. Wakati Feisal aking’ara katika mwezi huo, kocha…

Read More