SportsAMEANZA KUJIPATA CLATOUS CHAMA, LUIS BADO Saleh1 year ago1 year ago01 mins MWAMBA Clatous Chama ndani ya Simba taratibu ameanza kujipata ndani ya kikosi hicho baada ya kutokuwa kwenye ubora wake kwa muda mrefu. Ikumbukwe kwamba kwenye ligi kafunga mabao mawili pekee na pasi moja ya bao msimu wa 2023/24. Post navigation Previous: WAARABU WAMPA TUZO PACOME BONGONext: HUZUNI INATOSHA KIMATAIFA, KICHEKO KIPATIKANE