
SIMBA NA AKILI NYINGINE KIMATAIFA
DANIEL Cadena, Kaimu Kocha Mkuu wa Simba amesema akili za wachezaji zipo tofauti kabisa na michezo miwili iliyopita. Simba Novemba 25 ina kibarua çha kusaka ushindi dhidi ya ASEC Mimosas ikiwa ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi. Mechi mbili za ligi iliambulia pointi moja na kupoteza tano kwenye msako wa pointi…