KAGERE NA KILICHO NYUMA YA MNAFIKI ISHI NAYE KINAFIKI

MSHAMBULIAJI wa Singida Fountain Gate Meddie Kagere amesema kuwa ujumbe wake aliouandika kwenye fulana baada ya kufunga kwenye mchezo dhidi ya Coastal Union ni aina ya ushangiliaji aliochagua. Novemba 27 Kagere alifunga bao lake la kwanza kwenye ligi na wakati wa kushangilia alionyesha fulana  iliyoandikwa, “Mnafiki ishi naye kinafiki,”. Akizungumza mara baada ya mchezo huo…

Read More

MAXI NZENGELI, AZIZ KI TAYARI KUWAVAA WAARABU

NYOTA wa Yanga ikiwa ni pamoja na Maxi Nzengeli, Pacome Zouzoah, Zawadi Mauya, Kibwana Shomari wapo kamili kuwavaa Waarabu wa Al Ahly kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi inashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika na kete ya kwanza wakiwa ugenini walipoteza dhidi ya Waarabu wa Algeria. Kwa sasa…

Read More

SIMBA YAYEYUSHA DAKIKA 450 BILA USHINDI

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa, Simba wameandika rekodi yao kwenye anga hilo kwa kukomba dakika 450 sawa na mechi tano bila kuambulia ushindi. Kwenye mechi hizo, mbili ilikuwa ni African Football League, (AFL) na tatu Ligi ya Mabingwa Afrika. Katika mechi tano, tatu wamecheza nyumbani na mbili ugenini. Katika mechi za AFL, ilikuwa…

Read More

SIMBA NI MWENDO WA FULL PACKAGE

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa umechukua muziki kamili wa benchi la ufundi ambalo litakuwa na kazi ya kuwanoa wachezaji wa timu hiyo Ipo wazi kuwa Novemba 5 baada ya ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 1-5 Yanga mambo yalibadilika kwenye benchi la ufundi, Roberto Oliveira aliyekuwa kocha mkuu alisitishiwa mkataba wake Novemba 7….

Read More