MASTAA SIMBA WAPEWA KAZI KUBWA KIMATAIFA

KUELEKEA kwenye mchezo wa kimataifa wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas nyota wa Simba wamepewa zigo zito kuhakikisha wanapata matokeo chanya kwenye mchezo huo. Ipo wazi kuwa katika mechi mbili zilizopita za ligi wachezaji wa Simba walipata matokeo yenye maumivu. Katika mchezo wa Kariakoo Dabi Novemba 5 ubao ulisoma Simba 1-5 Yanga…

Read More

AZAM FC YAIPIGIA HESABU MTIBWA SUGAR

YUSUPH Dabo, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa wanafanyia kazi makosa ambayo yalitokea kwenye mechi zilizopita ili kupata matokeo kwenye mechi zijazo. Novemba 24 Azam FC inatarajiwa kuwakabirisha Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa ligi utakaochezwa Uwanja wa Azam Complex. Ilicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya JKU Novemba 19 ikiwa ni maandalizi kwa mechi zijazo…

Read More

SIMBA WATUMA SALAMU HIZI KWA ASEC

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa kazi yao kubwa ni kupata ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas. Mchezo huo wa hatua ya makundi unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Novemba 25 2023. “Tunakazi moja tu ya kumnyoa ASEC Mimosas, tunatambua wapinzani wetu wataleta…

Read More

SIO MUDA WA KUTAFUTA MCHAWI NANI NDANI YA TAIFA STARS

MATUMAINI ya mashabiki wa Tanzania ni kuona kwamba wachezaji wanapata matokeo mazuri. Ipo hivyo hata wapambanaji wenyewe wanapoingia kwenye mapambano malengo ni kushinda. Mwisho matokeo ya mpira yanaptikana baada ya dakika 90. Kuna atakayeshinda na atakayeshindwa wakati mwingine inatokea wote wanatoshana nguvu kwenye mchezo husika. Kwa kilichotokea kwa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars…

Read More