WANAJESHI sita ndani ya kikosi cha Azam FC wameitwa kwenye timu zao za taifa.
Kwa sasa Ligi Kuu Bara ipo kwenye mapumziko kupisha mashindano ya kimataifa ambapo timu zitakuwa kwenye mechi za kufuzu Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2026.
Mastaa hao walioitwa kwenye timu za taifa ni wanne wapo kambini timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars
Lusajo Mwaikenda
Feisal Salum
Abdul Suleiman, (Sopu)