WANAJESHI HAWA WA AZAM KWENYE MAJUKUMU YA TAIFA

 WANAJESHI sita ndani ya kikosi cha Azam FC wameitwa kwenye timu zao za taifa. Kwa sasa Ligi Kuu Bara ipo kwenye mapumziko kupisha mashindano ya kimataifa ambapo timu zitakuwa kwenye mechi za  kufuzu Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2026. Mastaa hao walioitwa kwenye timu za taifa ni wanne wapo kambini timu ya taifa ya…

Read More

KISA MGHANA HUYU SINGIDA FOUNTAIN GATE YAPIGWA PINI

IKIWA ni muda wa mapumziko kwa sasa ndani ya Ligi Kuu Bara, Klabu ya Singida Fountain Gate inayotumia Uwanja wa Liti imepigwa pini kwenye suala la usajili. Timu hiyo ya Singida Fountain Gate inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC ya Singida Fountain Gate FC zamani ilikuwa ikiitwa Singida Big Stars FC imefungiwa kusajili mpaka itakapomlipa mchezaji…

Read More

SIMBA SC YATAMBA KUWA WA KWANZA KATIKA HILI

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa umefanikiwa kuwa timu ya kwanza Afrika Mashariki kuzindua Simba SC WhatsApp Channel. Rasmi leo Novemba 14 Simba imetambulisha chanel hiyo ikiwa ni chanzo cha kutoa taarifa kwa mashabiki na dunia nzima kiujumla. Imani Kujula, Mtendaji Mkuu wa Simba amesema: “Leo tunazindua Simba Sports Club WhatsApp channel. WhatsApp imepakuliwa na…

Read More

KAZI KUBWA NI KUSAKA USHINDI NYUMBANI AMA UGENINI

KILA timu inaposhuka uwanjani mpango kazi mkubwa ni kupata ushindi. Iwe ni kwenye mchezo wa kirafiki hata ule wa ushindani malengo bado yanabaki palepale kwa kila timu kuhitaji kuwa kwenye mwendo mzuri. Kwa sasa timu nyingi zipo kwenye maandalizi kwa ajili ya mechi za kitaifa na kimataifa hilo lipo wazi. Zipo ambazo malengo makubwa ni…

Read More

AZAM FC HAWATAKI UTANI HUKO

MATAJIRI wa Dar, Azam FC hawataki utani kwenye mechi zao za ligi kwa kuweka wazi kuwa watendelea kasi yao ileile waliyoanza nayo kwenye mechi za ugenini. Ipo wazi kuwa kwenye mechi mbili za ugenini Azam FC inayonolewa na Yusuph Dabo ilikomba pointi sita mazima ndani ya dakika 180. Ilianza kushuhudia ubao wa Uwanja wa Lake…

Read More

MWAMBA PHIRI ANAKUJA

MOSES Phiri, nyota wa Simba mdogomdogo anazidi kurejea kwenye ubora wake kutokana na kasi yake kwenye kufunga na kutoa pasi za mabao kuanza kuimarika. Ipo wazi kwamba zama za kocha Roberto Oliveira hakuwa chaguo la kwanza katika kikosi hicho na mechi nyingi alianza kusugua benchi licha ya uwezo alionao. Ni mabao matatu katupia ndani ya…

Read More