Ndugu mteja mwezi Novemba tayari umeanza na leo hii mechi mbalimbali zitachezwa huku Meridianbet wakiwa tayari wamekuwekea machaguo uyapendao. Unajua kuwa kuwa Milionea ni kitu rahisi kama ukituliza akili yako kwa kusuka jamvi na Meridianbet?. Timiza ndoto zako hapa wakati ndio huu.
LALIGA kuna mechi moja ya pesa leo ambayo ni kati ya Las Palmas dhidi Atletico Madrid ya Diego Simeone. Mara ya mwisho kukutana, ilikuwa mwaka wa 2018 na Atletico walishinda. Mwenyeji yupo nafasi ya 10 akiwa na pointi zake 14, na wote wametoka kushinda mechi zao zilizopita. Mechi hii imepewa ODDS ya 1.65 kwa 5.29. Ingia meridianbet ubashiri sasa.
LIGUE 1 nayo itapigwa mechi ya kibabe ambao ni kati ya mabingwa watetezi PSG dhidi ya Montpellier. Mchezo huu utapigwa katika dimba la Parc des Princes huku nafasi ya kuibuka na ushindi akipewa Enrique na vijana wake kwa ODDS ya 1.25 kwa 9.80. Nani kushinda leo hii?
Ndugu mteja wakati unaendelea kufanya ubashiri wa mechi zako kumbuka kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo imekuja na kwanja wa maana yaani unaweza kujishindia hadi shilingi Milioni Mia MBili za Kitanzania 200,000,000 kwa dau lako la buku tuu, endapo utabashiri kwa usahihi mechi zako zote 13. Pia kwa wale wa vitochi au USSD ni rahisi tuu, piga *149*10# na ubashiri na mabingwa wa ubashiri Tanzania sasa.
Wakati leo hii hii ligi kuu ya Tanzania NBC, katika dimba la Uhuru majira ya saa 10:00 jioni nyasi zitawaka moto licha ya kuwepo mvua leo hii ambapo vijana wa Moalini KMC watakipiga dhidi ya Dodoma Jiji. Timu zote mbili zimetoka kupata ushindi michezo yao iliyopita huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni pointi 3. Nafasi kubwa ya ushindi kapewa mwenyeji akiwa na ODDS ya 1.89 kwa 3.77 bashiri sasa.
Wakati majira hayo hayo ya saa 10:00 Mtibwa Sugar ambaye ndiye kibonde wa ligi atakuwa Manungu kumenyana dhidi ya JKT Tanzania ambaye yupo nafasi ya 6 kwenye msimamo wa ligi. Timu zote zimepoteza mechi zao za mwisho. Walima Miwa wamepewa nafasi kubwa ya kuibuka wababe wakiwa na ODDS ya 2.11 kwa 3.14. Suka jamvi lako hapa sasa.
Na mechi ya mwisho kabisa itakuwa ni kati ya Kagera Sugar dhidi ya Tanzania Prisons majira ya saa 1:00 jioni. Mwenyeji yupo nafasi ya 8 na mgeni yupo nafasi ya 14 huku mara ya mwsiho kukutana, Wajelajela walishinda. Je leo mwenyeji kulipa kisasi?
Vilevile ligi kuu ya Italia, SERIE A pia inatarajiwa kupigwa hii leo kwa mchezo mmoja kati ya Bologna FC dhidi ya Lazio Rome. Tofauti ya pointi kati yao ni moja pekee na mara ya mwisho walipokutana hakuna aliyekuwa mbabe. Mechi hii ina ODDS KUBWA pale Meridianbet ingaia na ucheze sasa.
Pale BUNDESLIGA kutakuwa na mbungi kali sana kati ya Darmstadt ambaye yupo nafasi ya 14 dhidi ya Bochum ambaye yupo nafasi ya 16. Tofauti ya pointi kati yao ni mbili pekee huku mwenyeji akipoteza mchezo wake uliopita na mgeni akisare. Mechi hii ina ODDS ya 2.35 kwa 2.79. Unasubiri nini sasa? Beti hapa