KIGONGO CHA KWANZA CHA KOCHA MPYA SINGIDA FOUNTAIN GATE
RICARDO Ferreira, Kocha Mkuu wa Singida Fountain Gate anatarajiwa kukiongoza kikosi hicho kwenye mchezo wa ligi dhdi ya Namungo FC utakaochezwa Uwanja wa Majaliwa, utakaochezwa Jumamosi. Kikosi cha Singida Fountain Gate kimewasili Ruangwa salama salmini kwa maandalizi ya mwisho ya mchezo huo. Miongoni mwa wachezaji waliopo kwenye msafara huo ni Meddie Kager, Beno Kakolanya, Gadiel…