UNYAMA KUENDELEZWA KWA WAARABU, ITAFAHAMIKA

UNYAMA unatarajiwa kuendelezwa leo nchini Misri kwa mchezo wa hatua ya robo fainali ya pili ya African Football League kati ya Al Ahly dhidi ya Simba kutoka Tanzania. Benchi la ufundi chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira limebainisha kuwa lina imani ya kupata matokeo ugenini ili kutinga hatua ya nusu fainali.  Hapa tunakuletea hesabu namna…

Read More

MO AWEKA MEZANI ZAIDI YA 500M

Kuelekea mchezo huo, unaambiwa wachezaji wa Simba wamechachamaa wakiitaka shilingi milioni 500 walizoahidiwa na Rais wa Heshima wa Klabu hiyo, Mohamed Dewji ‘Mo’ akiwataka kuhakikisha wanapata ushindi dhidi ya Al Ahly ya Misri. Chanzo chetu kutoka Simba, kimeliambia Spoti Xtra kwamba, kabla ya Simba kuanza safari kuelekea Misri, Mo alikutana na wachezaji vyumbani kwenye Dimba…

Read More

AZAM FC MBELE YA YANGA HAWANA BAHATI KABISA

KATIKA mechi mbili za ushindani ndani ya dakika 180, matajiri wa Dar Azam FC hawana bahati kabisa mbele ya Yanga. Katika mchezo wa kwanza kumenyana ilikuwa Ngao ya Jamii, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga baada ya dakika 90 ubao ulisoma Yanga 2-0 Azam FC. Ngoma ikawa katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Mkapa dakika…

Read More

KAZI IPO KWA WACHEZAJI WA SIMBA KIMATAIFA

MAJIBU ya nani atakuwa mshindi atakayesonga hatua ya nusu fainali kwenye mashindano mapya ya African Football League kati ya wawakilishi wa Tanzania, Simba dhidi ya Al Ahly ya Misri yanasubiriwa leo. Ukweli ni kwamba mchezo wa leo una maana kubwa kwa Simba kuandika rekodi mpya ambayo itabaki kwenye kumbukumbu za muda wote. Ni mchezo mgumu…

Read More

AZAM FC YAPOTEZA MZIZIMA DABI

MZIZIMA Dabi imezizima Uwanja wa Mkapa hukuAzam FC wakiwa mashuhuda wakiyeyusha pointi tatu mbele ya wapinzani wao Yanga. Unakuwa ni mchezo wa kwanza kwa Azam FC kupoteza kwa msimu wa 2023/24 kwenye mchezo wa leo ambao ulikuwa na ushindani mkubwa. Baada ya dakika 90 kumeguka ubao umesoma Yanga 3-2 Azam FC katika msako wa poiñti…

Read More

MZIZIMA DABI: YANGA 3-2 AZAMM FC

MZIZIMA Dabi inapigwa Oktoba 23,2023 Uwanja wa Mkapa kwa kila timu kusaka pointi tatu muhimu baada ya dakika 45. Dakika 45 za mwanzo timu zote zinakwenda  bao ulikuwa unasoma 1-1. Ni Aziz KI alianza kufunga kwa Yanga dakika ya 8 akimtungua Idrissu Abdulai na bao la usawa kwa Azam FC limefungwa na Gibrril Sillah dakika…

Read More

Utajiri Leo Hii Upo Meridianbet Bashiri Sasa

Leo hii ligi mbalimbali zinaendelea ambapo tayari Meridianbet wamekuhakikishia mkwanja wa maana endapo utabashiri mechi hizo kwa usahihi kwani hapa kuna kila ambacho wewe unakitaka. EPL kutimua vumbi majira ya saa 4:00 ambapo Fulham atakuwa ugenini dhidi ya Spurs ya Ange. Ikumbukwe kuwa vijana hao wa London hawajapoteza mechi yoyote hadi sasa. Mara ya mwisho kukutana…

Read More

FEI TOTO ANA BALAA HUYO

NYOTA Feisal Salum (Fei Toto) ana balaa huyo ndani ya uwanja kwa kuwa namba moja kwenye utupiaji wa mabao ndani ya Azam FC. Ndani ya Ligi Kuu Bara katupia mabao manne ambapo ni mchezaji wa kwanza kufunga hat trick ndani ya ligi alipofunga kwenye mchezo wa kwanza Uwanja wa Azam Complex. Alianza kucheka na nyavu…

Read More

HIZI HAPA SILAHA ZA GAMONDI DHIDI YA AZAM FC

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa wachezaji wake wote wapo tayari kwa ajili ya mchezo dhidi ya AzamFC. Leo ni Mzizima Dabi inatarajjiwa kupigwa Uwanja wa Mkapa, Oktoba 23 kwa wababe wawili kusaka pointi tatu. Miongoni mwa silaha ambazo zipo tayari kuikabili Azam FC ni Skudu Makudubela, Farid Mussa, Khalid Aucho, Jesus…

Read More

KAZE ABWAGA MANYANGA NDANI YA NAMUNGO

KUTOKANA na mwendo mgumu wa timu ya Namungo kupata matokeo kwenye mechi za ligi msim wa 2023/24 aliyekuwa kocha wa Namungo FC, Cedric Kaze ametangaza kung’atuka kwenye nafasi hiyo. Taarifa yake ya kubwaga manyanga ndani ya Namungo inayotumia Uwanja wa Majaliwa kwenye mechi za ushindani aliitoa kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram….

Read More

MAPUNGUFU YA SIMBA AFL YAFANYIWE KAZI

UBORA wa kikosi cha Simba ambao unazungumzwa kwenye midomo na mashabiki pamoja na viongozi ni vitu viwili ambavyo vinafikirisha. Haina maana kwamba wachezaji wa Simba sio bora hapana, mwendo wa makosa kwenye mechi wanazocheza unakwenda kujirudia mara kwa mara. Tumeona namna ambavyo waliondolewa katia hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika na Wydad Casablanca…

Read More

KARIBU KWENYE FAMILIA YA KIBINGWA YA MERIDIANBET UFURAHIE SLOTI YA BURSTING HOT 5

Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet imekusogezea sloti ya kijanja ya Bursting Hot 5 kiganjani mwako sasa! Bursting Hot 5 ni mchezo unaotumia matunda kama zile sloti za kizamani ila imeboreshwa zaidi! Sifa mpya zilizoongezwa zinakuhakikishia ushindi mkubwa zaidi. Namna ya Kucheza Mchezo wa Bursting Hot 5 Ukiingia kwenye sehemu ya Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet,…

Read More