WAAMUZI HAKI MUHIMU KUZINGATIA KWENYE MAAMUZI

TARATIBU dawa inazidi kuingia kwenye kidonda ambacho kinaendelea kupona. Licha ya kuendelea kwa maumivu ambayo mgonjwa anapata bado inatakiwa umakini kwenye uangalizi. Ni mzunguko wa kwanza wenye ushindani mkubwa kwa kila timu kuonyesha shauku ya kupata ushindi. Ipo wazi kwamba hakuna anayependa kupoteza mchezo na kasi inaonekana. Kwa namna kasi ilivyo basi ni muhimu kwa…

Read More

PARIMATCH YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KIBABE

Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch imeunganana na watoa huduma ulimwenguni kote kusherehekea Wiki ya Huduma kwa Wateja huku ikiahidi kuendelea kutoa huduma bora zaidi na zenye ubunifu kwa wateja wake ili kuongeza burudani pindi wanaposuka mikeka yao kwenye tovuti na App. Akitoa salamu za heri kwa wateja na wafanyakazi wa kampuni hiyo jijini Dar…

Read More

GAMONDI ATAJA KINACHOWAUMIZA YANGA

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema miongoni mwa sababu zikizowafanya wakapoteza dhidi ya Ihefu ni Uwanja wa Highland Estate ambao haukuwa katika viwango. Mateso ya kupoteza pointi tatu walikumbana nayo wachezaji na benchi la ufundi ugenini mara ya Kwanza msimu wa 2023/24. Kocha huyo ameweka wazi kuwa wachezaji walikwama kutulia uwanjani na kucheza mpira…

Read More

AZAM FC WAKOMBA POINTI MKWAKWANI, FEI AWAKA

WAKIWA ugenini, Azam FC imekomba pointi tatu mazima dhidi ya Coastal Union kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Bao la ushindi limefungwa na Feisal Salum, dakika ya 45 kwa pigo akiwa ndani ya 18 kutokana na makosa ya safu ya ulinzi ya Coastal Union. Ni bao la nne kwa Fei Toto ambaye alifungua akaunti…

Read More

BAADA YA DROO CAF, SIMBA WAJA NA NENO HILI

TAYARI Simba wamewatambua wapinzani wao watakaokutana nao kwenye mechi za kimataifa hatua ya makundi. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira imepangwa kundi B ambapo inasaka nafasi ya kutinga hatua ya robo fainali. Droo hiyo imechezwa leo Oktoba 6, Afrika Kusini na Simba wameweka wazi kuwa malengo yao ni kupata matokeo kwenye mechi zao za…

Read More

KISA PIRA PAPATUPAPATU, SIMBA YABADILI GIA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utarejea ukiwa imara zaidi na mwendo mwingine kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kutinga hatua ya makundi. Ikumbukwe kwamba Simba ilifanikiwa mpango kazi kutinga hatua ya makundi kwa faida ya mabao ya ugenini dhidi ya Power Dynamos kwenye mchezo wa kwanza ubao uliposoma Power Dynamos 2-2…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE WAPETA UGENINI

SINGIDA Fountain Gate imefanikiwa malengo ya kusaka pointi tatu kwa msimu wa 2023/24 ikiwa Uwanja wa Manungu. Katika mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Manungu dakika 90 zilikuwa upande wa Singida Fountain Gate waliopata ushindi. Dakika 90 ubao umesoma Mtibwa Sugar 0-1 Singida Fountain Gate bao pekee ma ushindi likifungwa na Elvis Rupia dakika ya…

Read More

SERIKALI IAMUE MOJA TU, IZIBEBE MOJA KWA MOJA GHARAMA

KUNA kila sababu ya kusema Serikali ya Jamhuri ya Tanzania chini ya Dk Samia Suluhu Hassan inajitahidi kuonyesha inafanya jambo katika michezo nchini. Inawezekana kwa awamu kadhaa zilizopita, Serikali imekuwa ikishiriki katika michezo katika nyanja mbalimbali. Kipindi hiki kumekuwa na mabadiliko zaidi na mengi yanahusisha hamasa na kidogo usaidizi katika gharama ya timu zetu za…

Read More

SIMBA YAKOMBA POINTI TATU ZA WAJELAJELA

SAIDO Ntibanzokiza, kiungo mshambuliaji wa Simba amefungua akaunti ya mabao kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Sokoine umesoma Tanzania Prisons 1-3 Simba. Ni Edwin Balua kwa Prisons alianza kufunga dakika ya 16, Clatous Chama dakika ya 34 alipachika bao la kwanza kisha John…

Read More

Ligi ya Europa Imekuja Kivingine Wakati Huu

Baada ya kurupushani za juzi na jana kwenye ligi ya Mabingwa kumalizika, sasa ni zamu ya Europa kukupatia mkwanja wa maana ukibashiri na Meridianbet pekee Tanzania. Hapa unapata kila ambacho unakitaka  ikiwemo ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na mengine mengi. Liverpool ya Klopp baada ya kupata ushindi mchezo uliopita, watamenyana dhidi ya Union Saint-Gilloise…

Read More

AZAM FC KWENYE KIGINGI KINGINE TENA

MATAJIRI wa Dar, Azam FC ni bandika bandua ugenini kwenye msako wa pointi sita muhimu katika mechi za Ligi Kuu Bara. Kete ya kwanza ugenini kwa Azam FC ilikuwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma na kete ya pili ni Tanga dhidi ya Coastal Union, Oktoba 6 Uwanja wa Mkwakwani. Mchezo wa kwanza walitoshana nguvu kwa kugawana…

Read More

SOKOINE MBEYA: PRISONS 1-3 SIMBA

UBAO wa Uwanja wa Sokoine, Mbeya umesoma Tanzania Prisons 1-2 Simba. Edwin Balua alianza kumtungua Ally Salim dakika ya 16 kwa pigo la faulo kisha Clatous Chama aliweka usawa dakika ya 34. John Bocco amepachika bao dakika ya 45 akiwa ndani ya 18. Katika mwendo wa kawaida mastaa wa Tanzania Prisons walionekana wamenyoosha mikono kuonyesha…

Read More