SIMBA YATOSHANA NGUVU NA AL AHLY

MCHEZO wa African Football League ambao ni wa ufunguzi Simba imetoshana nguvu na Al Ahly. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Simba 2-2 Al Ahly. Mabao ya Simba yamefungwa na Kibu Dennis na Sadio Kanoute huku yale ya Al Ahly yakifungwa na Slim na Kahraba kwenye mchezo huo uliokuwa na ushindani…

Read More

AFRICAN FOOTBALL LEAGUE SIMBA 0-1 AL AHLY

UKIWA ni mchezo wa ufunguzi wa African Football League, mashabiki wa Simba wameshuhudia namna mbinu za Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kikiwa nyuma. Dakika 45 ubao wa Uwanja wa Mkapa unasoma  Simba 0-1 Al Ahly Mtupiaji kwenye mchezo huo ambao una ushindani mkubwa kwa timu zote ni Reda Slim aliyetumia makosa ya safu ya ulinzi ya…

Read More

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA AL AHLY

HIKI hapa kikosi cha Simba dhidi ya Al Ahly, African Football League. Uwanja wa Mkapa ikiwa ni mchezo wa ufunguzi kipo namna hii kikosi cha kwanza:- Ally Salim Shomari Kapombe Mohamed Hussein, Che Malone, Mzamiru Yassin Fabrice Ngoma Clatous Chama Kibu Dennis Saido Ntibanzokiza Luis Miquissone

Read More

TIMU 24 KUSHIRIKI AFL MSIMU UJAO

Rais wa Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF), Patrice Motsepe ameweka wazi kuwa msimu ujao kutakuwa na timu shiriki 24 kwenye African Football League ambayo inatarajiwa kufunguliwa rasmi leo Oktoba 20, 2023. Ni ardhi ya Tanzania, Uwanja wa Mkapa umepata fursa ya kuzindua mashindano hayo makubwa ambayo yanafuatiliwa na wengi duniani yakifanyika kwa mara ya…

Read More

KIGONGO CHA KWANZA CHA KOCHA MPYA SINGIDA FOUNTAIN GATE

RICARDO Ferreira, Kocha Mkuu wa Singida Fountain Gate anatarajiwa kukiongoza kikosi hicho kwenye mchezo wa ligi dhdi ya Namungo FC utakaochezwa Uwanja wa Majaliwa, utakaochezwa Jumamosi. Kikosi cha Singida Fountain Gate kimewasili Ruangwa salama salmini kwa maandalizi ya mwisho ya mchezo huo. Miongoni mwa wachezaji waliopo kwenye msafara huo ni Meddie Kager, Beno Kakolanya, Gadiel…

Read More

SIMBA V AL AHLY, HISTORIA NYINGINE INAKWENDA KUANDIKWA

HISTORIA inakwenda kuandikwa kwa Simba kuwa wafunguzi wa African Football League ambapo leo Oktoba 20, 2023 mchezo wa ufunguzi unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira Simba itakuwa na kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo dhidi ya Al Ahly kutoka Misri ambao nao pia wanahitaji ushindi kwenye mchezo wa leo. Ahmed…

Read More

YANGA V AZAM KITAUMANA KWA MKAPA

KITAUMANA Oktoba 23 Uwanja wa Mkapa kwa wababe wawili kusaka pointi tatu muhimu ndani ya dakika 90. Yanga dhidi ya Azam FC watakuwa kazini kwenye mchezo wa Mzizima Dabi. Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi inapambana kuendeleza rekodi nzuri ya kupata ushindi dhidi ya Azam FC wa mabao 2-0 walipokutana kwenye mchezo wa Ngao…

Read More

MTIBWA SUGAR MAMBO BADO MAGUMU

MTIBWA Sugar ikiwa Uwanja wa Manungu imeshuhudia Oktoba 19,2023 ubao ukisoma Mtibwa Sugar 0-2 Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao ni Sugar Dabi. Mambo ni magumu kwa timu hiyo kutokana na mwendo wake kuwa ni wa kusuasua msimu mpya wa 2023/24 kwenye mechi za mwanzo. Mabao ya Kagera Sugar yamefungwa kwa awamu…

Read More

MWAMBA ONANA KWENYE MTEGO NDANI YA SIMBA

WILLY Onana nyota wa Simba yupo kwenye mtego ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kwa kutakuwa kutumia nafasi zinazopatikana kwenye mchezo. Simba inatarajiwa kucheza mchezo wa African Football League leo Ijumaa dhidi ya Al Ahly, Uwanja wa Mkapa huku Onana akiwa ni miongoni mwa nyota waliopo kwenye mpango kazi wa kocha…

Read More