SIMBA: WAARABU WAMEKUJA WAKATI MBAYA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa wapinzani wao Al Ahly, Waarabu wa Misri wamekuja wakati mbaya ikiwa ni maandalizi ya mwisho ya mchezo wa ufunguzi wa African Super League. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Oktoba 20 2023 ukiwa na wageni wakubwa kutoka pande zote za dunia na miongoni mwao ni pamoja na rais wa Fifa Gianni…