Skip to content
>
KWENYE mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, Yanga imeibuka na ushindi wa bao 1-0.
Ni Clement Mzize amepachika bao hilo dakika ya 66 na kuipa ushindi timu yake inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi.