
ROBERTINHO AKOLEZA DOZI SIMBA
ROBERTO Oliveira ‘Robertinho’ Kocha Mkuu wa Simba, ameweka wazi kuwa, kinachotakiwa kufanyika kwa sasa ni wachezaji wote kuongeza kasi na umakini wawapo ndani ya eneo la 18. Timu hiyo ipo katika maandalizi ya mechi za kitaifa na kimataifa kwa msimu wa 2023/24, pia inapambana kutwaa taji la Ligi Kuu Bara. Mazoezi ya Simba yanafanyika Simba…