
AZIZ KI MTAALAMU KAMILI GADO KWA FAINALI
AZIZ KI mtaalamu wa mapigo huru ndani ya kikosi cha Yanga Agosti 9 akitokea benchi alitupia bao moja dhidi ya Azam FC dakika ya 84. Yanga imeanza maandalizi kwa ajili ya mchezo wao wa hatua ya fainali katika Ngao ya Jamii, Tanga. Huo ulikuwa ni mchezo wa Ngao ya Jamii hatua ya nusu fainali alipomtungua…