PANGA LINAPITA KWA WASHIKA BUNDUKI HUKO
ARSENAL iko tayari kuwauza wachezaji tisa ili wapate fedha kwa ajili ya kumpa nguvu Kocha Mikel Arteta ya kushusha jembe lingine kikosini hapo. The Gunners wametumia mkwanja mkubwa msimu huu wa joto ili kushindana kusaka ubingwa wa Premier ambao msimu uliopita waliukosa dakika za mwisho mbele ya Manchester City. Arsenal wametoa pauni 105m kwa Declan…