MTIBWA SUGAR WAPOTEZA POINTI MBELE YA SIMBA

IKIWA Uwanja wa Manungu, Morogoro katika safu za milima ya Uluguru, Mtibwa Sugar imeyeyusha pointi tatu. Ubao umesoma Mtibwa Sugar 2-4 Simba ukiwa ni mchezo wa ufunguzi Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24. Katika mchezo wa Agosti 17 Uwanja wa Manungu, Mtibwa Sugar walikuwa imara kwenye mashambulizi ya kushtukiza pamoja na kujilinda kwa tahadhari huku…

Read More

MBABE WA KARIAKOO AMEFUNGUA AKAUNTI YA MABAO

PRINCE Dube nyota wa Azam FC amefungua akaunti ya mabao dakika ya tano kwa kufunga bao dhidi ya Kitayosce. Nyota huyo anayekipiga kwa matajiri wa Dar ni mbabe wa Simba kwa msimu wa 2022/23 kwa kuwatungua kwenye mechi za ligi zote mbili walipokutana. Katika dakika 180 msimu wa 2022/23 Dube alikuwa akiwapa tabu Simba yenye…

Read More

MTIBWA SUGAR 2-3 SIMBA

MCHEZO wa ufunguzi wenye ushindani mkubwa unachezwa Agosti 17, Uwanja wa Manungu. Mtibwa Sugar wakiwa ugenini ni mchezo wa Ligi Kuu Bara inashuhudia dakika 45 ikiwa mbele kwa mabao matatu. Ikumbukwe kwamba mabingwa watetezi wa ligi ni Yanga chini ya Miguel Gamond. Ubao wa Uwanja wa Manungu unasoma Mtibwa Sugar 2-3 Simba. Mabao mawili ya…

Read More

MKALI WA MANUNGU KAMILI KUIKABILI MTIBWA SUGAR

MKALI wa Uwanja wa Manungu kwa msimu wa 2022/23 Jean Baleke yupo kamili kuikabili timu hiyo akiwa na kazi ya kuvunja rekodi yake aliyoandika kwenye uwanja huo. Ni Feisal Salum huyu aliyekuwa ndani ya Yanga msimu wa 2022/23 na sasa ndani ya Azam FC ameandika rekodi ya kuwa nyota wa kwanza kufunga hat trick kwenye…

Read More

LIGI IMEANZA MATOKEO YASAKWE KWA HAKI, MUDA MCHACHE

TUMEONA namna Ligi Kuu Tanzania Bara ilivyoanza kwa kasi huku kila timu ikipambana kuonyesha uwezo wake ndani ya uwanja katika kutafuta ushindi na hii inaonyesha maandalizi yalikuwa bora. Pongezi kubwa kwa wachezaji ambao wameanza kuonyesha uwezo wao na hili linapaswa kuwa endelevu na sio kwenye mechi za mwanzo kisha mechi zinazofuatwa ikawa tofauti. Timu zote…

Read More