CAICEDO AIGOMEA LIVERPOOL, HUYO CHELSEA

DILI la staa wa Brighton FC Moises Caicedo kuibukia Liverpool linaweza kubuma licha ya asilimia 99 kuwa upande wao. Nyota huyo wa Brighton alikuwa katika mazungumzo na Liverpool ambao waliweka mkwanja mrefu mezani wa euro 110 milioni. Jurgen Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool aliweka wazi kuwa kila kitu kuhusu Caicedo kipo tayari ni jambo la…

Read More

MASHUJAA WAINGIA ANGA ZA SIMBA NA YANGA

KARIBU mgeni mwenyeji apone, ipo hivyo jambo ambalo wamekuja nalo Mashujaa FC kutoka Kigoma kwa kuingia anga za Simba na Yanga. Ikumbukwe kwamba Mashujaa FC ilipata nafasi ya kushiriki Ligi Kuu Bara baada ya kuifungashia virago Mbeya City kwenye mchezo wa mtoano hivyo Mbeya City itashiriki Championship msimu wa 2023/24. Ni Mashujaa Day timu hiyo…

Read More

YANGA WAMEANZA KUIVUTIA KASI FAINALI

BAADA ya kuwa timu ya kwanza kutinga hatua ya fainali ya Ngao ya Jamii, kikosi cha Yanga kimeanza mazoezi kuelekea fainali. Dakika 90 Yanga ilikamilisha Agosti 9, 2023 kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga ukisoma Yanga 2-0 Azam FC. Mabao ya Yanga yalifungwa na Clement Mzize dakika ya 88 na Aziz KI dakika…

Read More

DODOMA JIJI HAWAPOI, WAJA NA MKWARA HUU

UONGOZI wa Dodoma Jiji umeanza kutamba mapema baada ya ratiba ya Ligi Kuu Bara kutangazwa huku wakitarajia kufungua pazia kwa kusaka pointi tatu dhidi ya Coastal Union ya Tanga. Mabingwa wa ligi msimu wa 2022/23 ni Yanga waliokuwa wakinolewa na Nasreddine Nabi ambaye hatakuwa ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2023/24. Mbali na Nabi…

Read More

MPIRA SIO VITA MUHIMU KULINDANA WACHEZAJI

MASHABIKI furaha yao ni kuona wachezaji wakicheza kwa umakini na kuipa ushindi timu yao ambayo wanaishangilia. Ipo hivyo hata kwa benchi la ufundi pamoja na wachezaji wenyewe wanapokuwa ndani ya uwanja. Mashabiki wa Singida Fountain Gate wanapenda kuona timu ikipata matokeo mazuri hata wale wa Kagera Sugar nao pia wanapenda kupata matokeo mazuri. Miongoni mwa…

Read More