YANGA WATINGA FAINALI NGAO YA JAMII TANGA

KIKOSI cha Yanga kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 Azam FC katika mchezo wa Ngao ya Jamii nusu fainali ya kwanza. Yanga inakuwa timu ya kwanza kutinga hatua ya fainali ya Ngao ya Jamii ikiwa ni mara ya kwanza kuanza kushirikisha timu nne. Pia ni mchezo wa kwanza kwa Gamondi kwenye mechi za ushindani baada…

Read More

YANGA 0-0 AZAM FC NUSU FAINALI NGAO YA JAMII

MIAMBA wawili ndani ya nusu fainali ya kwanza katika dakika 45 za mwanzo imetoshana nguvu mchezo wa Ngao ya Jamii. Ubao wa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga unasoma Yanga 0-0 Azam FC. Katika dakika 45 za mwanzo nguvu na faulo kwa timu zote za Yanga na Azam FC zimetoshana ambapo kila timu imecheza jumla ya faulo…

Read More

HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA, AZIZ KI AANZIA BENCHI

MIGUEL Gamondi Kocha Mkuu wa Yanga ikiwa ni kete yake ya kwanza katika mchezo wa Ngao ya Jamii hatua ya nusu fainali ya kwanza. Kikosi cha kwanza kwa Yanga kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkwakwani Tanga ni pamoja na Diarra, Yao, Lomalisa, Mwamnyeto ambaye ni nahodha. Pia yupo Bacca, Aucho, Max, Mudhathir, Musonda, Farid…

Read More

HESABU ZA KOCHA SIMBA ZIPO NAMNA HII

ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anataka rekodi mpya kwa wachezaji hao kupata matokeo mapema kwenye mechi zaoili kuongeza hali ya kujiamini. Simba kwa sasa ipo Tanga ikiungana na timu nyingine ambazo ni Singida Fountain Gate, Yanga na Azam FC zitakazoshiriki Ngao ya Jamii. Oliveira anakibarua cha kuiongoza Simba kwenye mchezo dhidi ya…

Read More

YANGA WAPANIA KUVUNJA REKODI

WAKIWA wameandika rekodi ya kutwaa mataji matatu msimu wa 2022/23 Yanga wameweka wazi kuwa wanajipanga kuvunja rekodi hiyo. Ni Ngao ya Jamii Yanga walitwaa kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Simba, walitwaa ligi na Azam Sports Federation kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa fainali, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga….

Read More

KILA IDARA MABADILIKO NI MUHIMU

KILA mchezaji anapenda kupata matokeo mazuri kwa ajili ya timu yake ipo hivyo. Sio Yanga, Singida Fountain Gate mpaka Kagera Sugar. Hata Namungo pia wanafanya maandalizi kwa ajili ya kuona wanapata kile kilicho bora uwanjani. Kila shabiki anapenda kuona timu yake inapata matokeo mazuri baada ya dakika 90. Kwa namna yoyote kinachotakiwa kwa wakati huu…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE WAJA NA MKWARA HUU

UONGOZI wa Singida Fountain Gate umesema kichapo cha bao 1-0 ilichokipata kutoka Coastal Union juzi ukiwa ni mchezo wa kirafiki hakuwazuii kufanya vyema dhidi ya Simba kesho Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Huo ulikuwa ni mchezo wa kirafiki kwa timu hiyo ambayo imewasili Tanga kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya Ngao ya Jamii inayotarajiwa kuanza…

Read More