WATANI WA JADI KUKIWASHA MAPEMA TU LIGI KUU BARA
LEO Agosti 7 Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kupitia Afisa Mtendaji Mkuu, Almasi Kasongo, imetangaza ratiba ya msimu mpya wa 2023/24. Katika ratiba hiyo inayotarajiwa kuanza Agosti 15 2023 mchezo wa kwanza wa kufungua pazia utachezwa Uwanja wa Highland Estate, Mbeya. Ihefu wao watakuwa nyumbani wakiikaribisha Geita Gold inayonolewa na Kocha Mkuu, Hemed Morocco….