AZAM FC YALITAKA KOMBE LA YANGA
UONGOZI wa Azam FC umebainisha kuwa utaanza na Ngao ya Jamii kwenye ufunguzi wa msimu wa 2023/24. Yanga na Azam zinatarajiwa kumenyana Agosti 9 Uwanja wa Mkwakwani ikiwa ni hatua ya nusu fainali. Ofisa Habari wa Azam FC, Hasheem Ibwe amesema kuwa wapo tayari kwa msimu mpya na wataanza na Yanga. “Mchezo wetu wa kwanza…