SINGIDA FOUNTAIN GATE WAFANYA KWELI
SINGIDA Big Day 2023 imefana kutokana na mpangilio wa matukio na mashabiki kujitokeza kushuhudia burudani. Singida Fountain Gate wamefanya kweli kwa kupindua meza kibabe kwenye mchezo wao uliokuwa ukisubiriwa kwa shauku kubwa. Katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki ubao baada ya dakila 90 umesoma Singida Fountain Gate 2-1 AS Vita. AS Vita kutoka DR Congo…