ZAWADI MBALIMBALI KUTOLEWA NA “MERIDIANBET VUNA ZAIDI NA AIRTEL MONEY”
Leo hii Agosti 1 Meridianbet imekutana na waandishi wa habari eneo la Four Points by Sheraton Posta kwaajili ya uzinduzi wa kampeni yao ya Vuna Zaidi na Airtel Money ambayo imeanza leo na kikomo chake ni Septemba 15 mwaka huu wa 2023. Promosheni hii ni kwaajili ya wateja wanaotumia mtandao wa Airtel Money kufanya miamala…