CHUMA KIPYA CHA KAZI SIMBA HIKI HAPA

NI Che Malone Fondoh yeye ni beki ametambulishwa ndani ya kikosi cha Simba ikiwa ni ingizo jipya kwa washindi hao wa pili kwenye ligi. Yanga ni mabingwa wakiwa ni washindi wa kwanza ambapo nao wanajipanga kwa ajili ya kupambania ubingwa wao. Timu hizo za Yanga na Simba ikiwa kila timu itashinda kwenye mchezo wa hatua…

Read More

DAVID de GEA AONDOKA MAN UNITED

BAADA ya kudumu kwa muda miaka 12 ndani ya Manchester United hatimaye ameondoka ndani ya kikosi hicho. Ni David De Gea ameweka wazi kuwa wamefanikiwa mambo mengi tangu zama za Sir Alex Ferguson. Nyota huyo mkataba wake umegota mwisho msimu huu na alipewa muda wa kufikiria kusaini mkataba mpya walipokuwa kwenye mazungumzo. Anatajwa kuwa kwenye…

Read More

JOASH ONYANGO NDANI YA CHANGAMOTO MPYA

JOASH Onyango beki wa Simba rasmi kwa msimu wa 2023/24 atakuwa kwenye changamoto mpya na timu mpya ndani ya Singida. Nyota huyo mkataba wake na Simba unatarajiwa kumeguka msimu ujao na mabosi wa Simba wamefikia makubaliano ya kumtoa kwa mkopo kuelekea Singida Fountain Gate. Atakuwa ndani ya Singida Fountain Gate kwa mkopo msimu wa 2023/24…

Read More

KIUNGO MPYA AZAM FC ATOA KAULI YA KIBABE

KIUNGO mpya wa Azam FC Feisal Salum amesema kuwa anafurahia kuwa kwenye changamoto mpya ndani ya Azam FC. Ni ingizo jipya ndani ya Azam FC akitokea kikosi cha Yanga kilichotwaa ubingwa wa ligi 2022/23. Fei alipokuwa ndani ya Yanga alikuwa anavaa jezi namba sita anaendelea kuivaa pia akiwa ndani ya Azam FC. Kiungo huyo anatarajiwa…

Read More

YANGA KUSUKA KIKOSI CHA KAZI

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa utafanya usajili makini kwa ajili ya kuwa na kikosi imara kwa msimu wa 2023/24 kuendeleza ushindani. Ipo wazi kuwa Julai Mosi dirisha la usajili lilifunguliwa na linatarajiwa kufungwa Agosti 31 hivyo ni muda wa kuongeza nguvu ndani ya timu hiyo. Yanga tayari imeanza kufikia hatua ya kuachana na baadhi…

Read More

BEKI WA KAZI SIMBA ATAJWA KUIBUKIA SINGIDA

BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Simba Joash Onyango anatajwa kuingia kwenye rada za Singida Fountain Gate yenye maskani yake Singida. Jioni ya Julai 8 2023 ilikuwa ikisambaa picha iliyokuwa inamuonyesha mtu aliyefanana na Onyango akiwa ameshika mkataba wa Singida Fountain Gate. Taarifa zinaeleza kuwa picha hiyo imevujisha na mmoja ya watu wanaohusika na…

Read More

WINGA MPYA ATUMIWA TIKETI YA NDEGE NA MABOSI YANGA

FUJO za usajili zinaendelea kwa ajili ya msimu ujao ni baada ya Yanga kumtumia tiketi ya Ndege, winga wa Klabu ya AS Maniema Union ya DR Congo, Maxi Mpia Nzengeli. Nzengeli ni kati ya wachezaji ambao walikuwepo katika mipango ya kusajiliwa na Yanga kwa ajili ya kuboresha kikosi hicho kwa msimu wa 2023/24. Winga huyo…

Read More

JEMBE JIPYA LA KAZI LATAMBULISHWA SIMBA

AUBIN Kramo ambaye ni winga ametambulishwa kuwa ingizo jipya  ndani ya kikosi cha Simba kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho. Ni nyota kutoka Klabu ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast anaingia kwenye orodha ya nyota wapya watakaokuwa kwenye kikosi cha Simba. Huyu ni mchezaji wa pili kutambulishwa baada ya awali kuaza na Willy…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE FC NI ARUSHA

RASMI Klabu ya Singida Fountain Gate ya Singida imebainisha kuwa kambi yake itakuwa ni Arusha kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2023/24. Taarifa rasmi iliyotolewa na Singida Fountain Gate FC imeeleza namna hii:”Tunapenda kuwataarifu wadau na mashabiki wa Singida Fountain Gate FC kwamba maandalizi ya msimu ujao kwa klabu yetu yatafanyikia jijini Arusha…

Read More

WATATU WATAMBULISHWA NDANI YA SIMBA

KATIKA maboresho ya benchi la ufundi kikosi cha Simba kimeongeza watu watatu Kwa ajili ya msimu wa 2023/24. Ni Corneille Hategekimana huyu ni kocha mpya wa viungo ndani ya Simba yeye ni raia wa Rwanda na amewahi kufanya kazi ndani ya Vipers. Pia Daniel Cadena ambaye alikuwa ndani ya Azam FC huyu atakuwa ndani ya…

Read More

BEKI HILI LA KAZI YANGA KUKUTANA NA THANK YOU

INAELEZWA kuwa beki wa kati wa kimataifa wa Yanga kutoka Mali, Mamadou Doumbia wakati wowote atapewa ‘Thank You’. Habari zinaeleza kuwa tayari Yanga imeshamalizana na beki huyo ikiwa na malengo ya kuingia sokoni kusaka mbadala wake. Beki huyo alisajiliwa Yanga dirisha dogo kwa mkataba wa miaka miwili akiwa mchezaji huru na sasa Yanga watalazimika kuvunja…

Read More

VIDEO:SIMBA:ONANA NI USAJILI SAHIHI,UBORA WAKE

IKIWA ni usajili wa kwanza kutambulishwa kwa mashabiki wa Simba Willy Onana aliyetangazwa Jumanne, Dr shabiki wa Simb amebainisha kuwa ni moja ya wachezaji wazuri. Dr amezungumzia pia kuhusu watani zao wa jadi Yanga ambao nao wana hesabu za kufanya usajili mkubwa. Ikumbukwe kwamba Yanga ni mabingwa wa ligi msimu wa 2022/23

Read More

NYASA BIG BULLETS YATOSHANA NGUVU NA YANGA

KWENYE mchezo maalumu wa kutimiza miaka 59 ya Uhuru wa Malawi timu zote mbili zimetoshana nguvu kwa kutofungana. Ubao umesoma Nyasa Big Bullets 0-0 Yanga ambapo Yanga walitumia asilimia kubwa wachezaji wa timu ya vijana. Kwenye mchezo wa leo kiungo Dennis Nkane alipata maumivu yalipolekea ashindwe kuendelea na mchezo huo lakini hali yake kwa sasa…

Read More

SIMBA YATANGAZA KOCHA MPYA

RASMI Simba imetangaza kocha mpya wa makipa kwa ajili ya kuwa na timu hiyo kwa msimu wa 2023/24. Ikumbukwe kwamba kocha huyo alikuwa ni shuhuda wa Yanga wakitwaa ubingwa wa ligi msimu wa 2022/23 alipokuwa ndani ya Azam FC. Pia alishuhudia Azam FC ikipoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Yanga kwenye mchezo wa fainali…

Read More