MAJEMBE MENGINE YANASHUSHWA YANGA
MAXI Mpia Nzengeli ni ingizo jipya ndani ya Yanga akitokea kikosi cha Maniema ya Dr Congo. Yeye ni winga mwenye uwezo wa kupandisha mashambulizi na kufunga jambo ambalo limewavutia Yanga kuinasa saini yake. Nyota huyo mpya Yanga anaungana na wengine ambao wametambulishwa ndani ya Yanga ikiwa ni mzawa Nickson Kibabage aliyekuwa wa kwanza kutambulishwa. Mwingine…