LEO NI LEO ASEMAYE KESHO HUYO NI MUONGO
LEO ni leo mashabiki wa Yanga wapo ndani ya Uwanja wa Mkapa kushuhudia mastaa wao wapya na wale ambao walikuwa na kikosi hicho kwa msimu wa 2022/23. Balaa la usajili Yanga bado wanaendelea nao wakishusha wachezaji wazawa na wale wa kigeni kuboresha timu hiyo iliyokuwa kwenye mwendo bora 2022/23. Hapa tunakuletea baadhi ya mastaa waliopo…