ROBERTINHO ACHARUKA, GAMONDI AWAMEZESHA ‘SUMU’ MAXI, AZIZ KI
ROBERTINHO acharuka Uturuki, Gamondi awamezesha ‘sumu’kali Maxi, Aziz Ki ndani ya Championi Jumamosi
ROBERTINHO acharuka Uturuki, Gamondi awamezesha ‘sumu’kali Maxi, Aziz Ki ndani ya Championi Jumamosi
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umeanza kushusha vyuma vya kazi kwa ajili ya msimu mpya ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Mtibwa Sugar ni miongoni mwa timu ambazo zimetoa wachezaji bora ambao wanacheza ndani ya Yanga, Singida Big Stars, Azam FC. Kwa msimu wa 2023/24 Singida Big Stars itakuwa inaitwa Singida Fountain Gate. Wapo pia ambao…
TAYARI ile Droo ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika na ile ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa hamu kubwa imeshafahamika. Wawakilishi wetu kutoka Tanzania bara na visiwani wamewatambua wapinzani wao ambao watakutana nao kwenye mechi za ushindani. Yanga wanakumbuka rekodi yao bora ya kutinga fainali kwenye Kombe la Shirikisho Afrika na…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
KIBEGI cha Simba kimefunguliwa juu ya Mlima Kilimanjaro ikiwa ni uzinduzi wa jezi mpya kwa msimu wa 2023/24 ilikuwa Julai 21 2023. Tumeona namna ambavyo kila mmoja alikuwa akifuatilia kwa namna yake popote alipokuwa kwa kuwa ilikuwa ni habari inayofurahisha. Utalii wa Tanzania umetengazwa kitaifa na kimataifa wengi wameona na kuendelea kufuatilia zaidi kuhusu mlima…
MGUU wenye nguvu kwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Aziz KI ni ule wa kushoto unaompa maujanja ya kuwapa maumivu makipa ndani ya Ligi Kuu Bara. Msimu wa 2022/23 ameutumia kufunga mabao 9 kwenye ligi ndani ya Yanga na kutoa pasi tano za mabao. Timu yake ya kwanza kuifunga ilikuwa ni Mtibwa Sugar, Uwanja wa Mkapa…
LUIS Miquissone kiungo wa Simba baada ya kujiunga na wachezaji wenzake nchini Utuki ameanza mazoezi tayari kwa ajili ya msimu mpya wa 2023/24. Kiungo huyo wa Simba alisepa hapo 2021 na kuibukia Al Ahly ambapo huko hakuwa na nafasi kikosi cha kwanza kutokana na ushindani wa namba. Hivi karibuni alifikia makubaliano ya kuvunja mkataba na…
ROBERTINHO:Mleteni yeyote tupo tayari, milioni 400 zamshusha mrithi wa Mayele Yanga ndani ya Spoti Xtra
HASHEEM Ibwe Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa sababu iliyofanya mchezo wao wa kirafiki kuvunjika katika dakika ya 60 ni kutokana na kutokuwa mchezo wa kiungwana kwa asilimia kubwa. Timu hiyo imeweka kambi Tunisia ikiwa ni kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2023/24 na wamekuwa wakicheza mechi za kirafiki kuongeza hali ya kujiamini…
LEGEND kwenye masuala ya uandishi wa habari za michezo kitaifa na kimataifa Saleh Jembe amefungukia ishu ya sakata la nyota wawili wa Yanga. Djuma Shaban ambaye ni beki wa Yanga na Yannick Bangala ambaye ni kiraka ndani ya Yanga hawakuwa sehemu ya kikosi kilichotambulishwa Siku ya Mwananchi, Uwanja wa Mkapa. Jembe amefafanua kuhusu suala la…
MANDONGA mtu kazi afungukia ishu ya kupigwa KO
HABIB Kondo ni kocha mpya ndani ya Mtibwa Sugar kwa msimu wa 2023/24 tayari ameanza kazi rasmi. Kocha huyo ana uzoefu na soka la Bongo aliwahi kuifundisha KMC yenye maskani yake Kinondoni. Timu hiyo kambi yake ipo kwenye mashamba ya milima ya miwa pale Morogoro, Manungu. Mtibwa Sugar inatumia Uwanja wa Manungu kwa mechi zake…
CHINI ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi Yanga inaendelea na mazoezi kwa ajili ya msimu mpya wa 2023/24. Ni AVIC Kigamboni Yanga imeweka kambi ikiwa na maingizo ya wachezaji wapya pamoja na wale waliokuwa katika kikosi hicho msimu wa 2022/23. Tayari Yanga imeshafanya utambulisho wa wachezaji wao ikiwa ni pamoja na Nickson Kibabage ambaye alikuwa anakipiga…
KOCHA Mkuu wa Azam FC Youssouph Daho raia wa Senegal Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa matokeo ambayo wanayapata kwenye mechi za kirafiki sio muhimu kikubwa ni kupata majibu wa kile wanachokitafuta. Timu hiyo imeweka kambi Tunisia ikiwa ni maandalizi ya msimu wa 2023/24 ikiwa inacheza na mechi za kirafiki inatambua kwamba mabingwa ni…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
MZEE Muchachu shabiki wa Simba amezungumzia kuhusu mipango ya timu hiyo kwa msimu wa 2023/24 pamoja na watani zao wa jadi Yanga na beki wao wa kazi Yannick Bangala. Bangala anatajwa kuwa kwenye mvutano na mabosi wake wa Yanga kuhusu masuala ya mkataba ambapo kandarasi yake inatarajiwa kumeguka 2024 ndani ya Yanga. Beki huyo na…
JULAI 25 droo ya CAF kwa timu ambazo zinazoshiriki mashindano kimataifa imechezwa leo ambapo wawakilishi wa Tanzania bara na visiwani wamewatambua wapinzani wao. Ni Yanga washindi wa pili kwenye Kombe la Shirikisho Afrika msimu wa 2022/23 wao wataanza katika raundi ya kwanza. Klabu ya Yanga chini ya Miguel Gamondi mrithi wa mikoba ya Nasreddine Nabi…