WAPINZANI WA YANGA KIMATAIFA SIO KINYONGE

KLABU ya Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ina kibarua cha kuipeperusha bendera ya Tanzania kwenye anga la kimataifa. Ni katika Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga itakuwa na kazi ya kupeperusha bendera ya Tanzania. Katika hatua ya awali Yanga inatarajiwa kumenyana na Association Sportive d’Ali Sabieh Djibouti Télécom ambayo haipo kinyonge uwanjani. Wapinzani wa…

Read More

VIDEO:SIMBA YAFUNGUKIA ISHU YA KIPA MPYA/ ALIUMIA MAZOEZINI

KIPA mpya wa Simba Luis Jefferson anatajwa kupata maumivu kwenye mazoezi Uturuki ikiwa ni muda mfupi tangu atambulishwe. DR Shabiki wa Simba amebainisha kuhusu suala la mchezaji huyo ambaye hajapata fursa ya kucheza kwenye ligi ya Tanzania inayotarajiwa kuanza hivi karibuni. Ikumbukwe kwamba ni Yanga ambao ni mabingwa wa msimu wa 2022/23 huku Simba ikigotea…

Read More

ZAWADI ALIYOPEWA MAYELE KWA WAARABU HII HAPA

FISTON Mayele amepewa jezi namba 9 ndani ya kikosi cha Pyramids ikiwa ni ingizo jipya. Nyota huyo msimu wa 2022/23 alikuwa ndani ya kikosi cha Yanga ambacho kilikuwa kinanolewa na Nasreddine Nabi. Namba 9 inakuwa ni zawadi kwake Mayele kuendelea kuitumia kama alivyokuwa akifanya ndani ya Yanga na sasa atakuwa akiivaa mbele ya Waarabu hao…

Read More