VIDEO:JEMBE AFUNGUKIA ISHU YA SAKATA LA BANGALA NA DJUMA

LEGEND kwenye masuala ya uandishi wa habari za michezo kitaifa na kimataifa Saleh Jembe amefungukia ishu ya sakata la nyota wawili wa Yanga. Djuma Shaban ambaye ni beki wa Yanga na Yannick Bangala ambaye ni kiraka ndani ya Yanga hawakuwa sehemu ya kikosi kilichotambulishwa Siku ya Mwananchi, Uwanja wa Mkapa. Jembe amefafanua kuhusu suala la…

Read More

KOCHA MPYA MTIBWA SUGAR AMEANZA KAZI

HABIB Kondo ni kocha mpya ndani ya Mtibwa Sugar kwa msimu wa 2023/24 tayari ameanza kazi rasmi. Kocha huyo ana uzoefu na soka la Bongo aliwahi kuifundisha KMC yenye maskani yake Kinondoni. Timu hiyo kambi yake ipo kwenye mashamba ya milima ya miwa pale Morogoro, Manungu. Mtibwa Sugar inatumia Uwanja wa Manungu kwa mechi zake…

Read More

YANGA KAMILI GADO KAZIKAZI

CHINI ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi Yanga inaendelea na mazoezi kwa ajili ya msimu mpya wa 2023/24. Ni AVIC Kigamboni Yanga imeweka kambi ikiwa na maingizo ya wachezaji wapya pamoja na wale waliokuwa katika kikosi hicho msimu wa 2022/23. Tayari Yanga imeshafanya utambulisho wa wachezaji wao ikiwa ni pamoja na Nickson Kibabage ambaye alikuwa anakipiga…

Read More

AZAM FC BADO WANAJITAFUTA

KOCHA Mkuu wa Azam FC Youssouph Daho raia wa Senegal Kocha Mkuu wa Azam FC  amesema kuwa matokeo ambayo wanayapata kwenye mechi za kirafiki sio muhimu kikubwa ni kupata majibu wa kile wanachokitafuta. Timu hiyo imeweka kambi Tunisia ikiwa ni maandalizi ya msimu wa 2023/24 ikiwa inacheza na mechi za kirafiki inatambua kwamba mabingwa ni…

Read More