MASTAA WA UNYAMANI WAMEANZA KAZI UTURUKI

MASTAA wa kikosi cha Simba ambao wamejiunga na timu hiyo Julai 18 wameanza mazoezi na wachezaji wengine waliotangulia. Chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kikosi hicho kimeanza maandalizi ikiwa ni kwa ajili ya msimu wa 2023/24. Ikumbukwe kwamba ni Yanga walitwaa ubingwa msimu wa 2022/23 huku Simba ikigotea nafasi ya pili. Ni Che Malone Fondoh,…

Read More

ALIYEWATUNGUA SIMBA KUIBUKIA IHEFU

NYOTA wa Coastal Union mwenye rekodi ya kuwatungua kwa pigo la penalti Simba msimu wa 2022/23 anatajwa kuibukia ndani ya Ihefu ya Mbeya. Ni Yanga ambao ni mabingwa hawajafungwa kwa penalti kwa kuwa katika mchezo dhidi ya Kagera Sugar Djigui Diarra wa Yanga aliokoa hatari hiyo. Ikumbukwe kwamba Simba kwenye mabao 17 iliyofungwa ni bao…

Read More

KOCHA YANGA ATAMBULISHWA KWENYE TIMU MPYA

NI rasmi Nasreddine Nabi (57) aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Yanga ametangazwa kuwa kocha wa mabingwa wa Morocco AS FAR Rabat. Ni mkataba wa miaka miwili amesaini kwa ajili ya kuwatumikia mabingwa hao wa Morocco. Nasreddine Nabi ambaye ni raia huyo wa Tunisia alitangazwa kuachana rasmi na Yanga mwishoni mwa msimu wa 2022/23 ambapo alikuwa…

Read More

SAMATTA KWENYE CHANGAMOTO MPYA

MSHAMBULIAJI Mbwana Samatta ambaye akipata nafasi ya kuitwa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars hupewa kitambaa cha unahodha ameweka wazi kuwa ana furahi kuanza kupata changamoto mpya. Nyota huyo atakuwa ndani ya Paok kwa ajili ya kupata changamoto mpya ndani ya msimu wa 2023/24. “Hello Paok ninafurahi kuwa hapa nina amini kwamba tutafanya kazi…

Read More

KIPA HUYU WA KAZI KWENYE RADA ZA SIMBA

INAELEZWA kuwa Simba ipo kwenye hesabu za kuinasa saini ya kipa wa kimataifa kuungana na timu hiyo ambayo imeweka kambi Uturuki. Yanga mlinda mlango namba ni raia wa Mali ambaye anaitwa Djigui Diarra hivyo Simba ikipata saini yake anakwenda kuwa namba mbili. Namba moja kwa Simba ni mzawa Manula tofauti na Yanga ambapo namba moja…

Read More

HUYU HAPA KOCHA MPYA YANGA

Taibi Lagrouni ametambulishwa kuwa kocha wa mazoezi ya viungo ndani ya kikosi cha Yanga ambacho kimeanza maandalizi kuelekea msimu mpya wa 2023/24. Ni AVIC Kigamboni illipo kambi ya timu hiyo ya Yanga inayonolewa na Miguel Gamondi mrithi wa mikoba ya Nasreddine Nabi raia wa Tunisia. Yanga ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara baada ya…

Read More