JEMBE JIPYA LA KAZI LATAMBULISHWA SIMBA

AUBIN Kramo ambaye ni winga ametambulishwa kuwa ingizo jipya  ndani ya kikosi cha Simba kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho. Ni nyota kutoka Klabu ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast anaingia kwenye orodha ya nyota wapya watakaokuwa kwenye kikosi cha Simba. Huyu ni mchezaji wa pili kutambulishwa baada ya awali kuaza na Willy…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE FC NI ARUSHA

RASMI Klabu ya Singida Fountain Gate ya Singida imebainisha kuwa kambi yake itakuwa ni Arusha kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2023/24. Taarifa rasmi iliyotolewa na Singida Fountain Gate FC imeeleza namna hii:”Tunapenda kuwataarifu wadau na mashabiki wa Singida Fountain Gate FC kwamba maandalizi ya msimu ujao kwa klabu yetu yatafanyikia jijini Arusha…

Read More

WATATU WATAMBULISHWA NDANI YA SIMBA

KATIKA maboresho ya benchi la ufundi kikosi cha Simba kimeongeza watu watatu Kwa ajili ya msimu wa 2023/24. Ni Corneille Hategekimana huyu ni kocha mpya wa viungo ndani ya Simba yeye ni raia wa Rwanda na amewahi kufanya kazi ndani ya Vipers. Pia Daniel Cadena ambaye alikuwa ndani ya Azam FC huyu atakuwa ndani ya…

Read More

BEKI HILI LA KAZI YANGA KUKUTANA NA THANK YOU

INAELEZWA kuwa beki wa kati wa kimataifa wa Yanga kutoka Mali, Mamadou Doumbia wakati wowote atapewa ‘Thank You’. Habari zinaeleza kuwa tayari Yanga imeshamalizana na beki huyo ikiwa na malengo ya kuingia sokoni kusaka mbadala wake. Beki huyo alisajiliwa Yanga dirisha dogo kwa mkataba wa miaka miwili akiwa mchezaji huru na sasa Yanga watalazimika kuvunja…

Read More

VIDEO:SIMBA:ONANA NI USAJILI SAHIHI,UBORA WAKE

IKIWA ni usajili wa kwanza kutambulishwa kwa mashabiki wa Simba Willy Onana aliyetangazwa Jumanne, Dr shabiki wa Simb amebainisha kuwa ni moja ya wachezaji wazuri. Dr amezungumzia pia kuhusu watani zao wa jadi Yanga ambao nao wana hesabu za kufanya usajili mkubwa. Ikumbukwe kwamba Yanga ni mabingwa wa ligi msimu wa 2022/23

Read More