WAPINZANI WA YANGA KIMATAIFA SIO KINYONGE
KLABU ya Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ina kibarua cha kuipeperusha bendera ya Tanzania kwenye anga la kimataifa. Ni katika Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga itakuwa na kazi ya kupeperusha bendera ya Tanzania. Katika hatua ya awali Yanga inatarajiwa kumenyana na Association Sportive d’Ali Sabieh Djibouti Télécom ambayo haipo kinyonge uwanjani. Wapinzani wa…