
VIGONGO VYA LIGI KUU BARA LEO HIVI HAPA
KIGONGO cha 30 kwa timu zote ndani ya Ligi Kuu Bara ni leo Juni 9,2023 mwisho wa ubishi kwenye vita ya ufungaji na zile ambazo zitacheza hatua ya mtoano. Kesi ya ubingwa imefungwa Yanga ni bingwa kwenye kiatu cha ufungaji bora Fiston Mayele wa Yanga anaongoza akiwa na mabao 16 na Saido Ntibanzokiza wa Simba…