KIKOSI bora msimu wa 2022/23 ni nyota mmoja kutoka Singida Big Stars mkali wa mapigo huru anaitwa Bruno Gomes ni kiungo mshambuliaji.
Simba iliyogotea nafasi ya pili imetoa wachezaji 6 ambao ni Shomari Kapombe, Mohammed Zimbwe, Henock Inonga, Muzamiru Yassin, Claotus Chama na Saido Ntibazonkiza.
Yanga ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu Bara wametoa wachezaji wanne ambao ni Djidji Diarra, Dickson Job, Bakari Mwamnyeto, Fiston Mayele.