MWISHO WA UBISHI TUZO YA MFUNGAJI BORA

KATIKA usiku wa tuzo za Ligi Kuu Bara inayodhaminiwa na benki ya NBC, ule ubishi wa nani atakuwa mfugaji bora uligota mwisho rasmi kwa kumtambua ambaye amesepa na tuzo hiyo. Nyota wawili kwenye ligi walitupia mabao 17 kwa kila mmoja ikiwa ni Saido Ntibanzokoza kiungo mshambuliaji wa Simba na Fiston Mayele mshambuliaji wa Yanga. Baada…

Read More

BEKI LA KAZIKAZI LASEPA NA TUZO

DICKSON Job beki wa kazikazi anayeitumikia Klabu ya Yanga ana tuzo ya beki bora msimu wa 2022/23. Job wa Yanga amewashinda washkaji zake aliokuwa anapambana nao kwenye kipengele hicho ikiwa ni pamoja na nahodha wake Bakari Mwamnyeto. Wengine ni Mohamed Hussein, Shomari Kapombe na Henock Inonga wote ni mali ya Simba. Inonga alikuwa na tuzo…

Read More

KIKOSI BORA SIMBA WATAWALA, SINGIDA YAPENYA

KIKOSI bora msimu wa 2022/23 ni nyota mmoja kutoka Singida Big Stars mkali wa mapigo huru anaitwa Bruno Gomes ni kiungo mshambuliaji. Simba iliyogotea nafasi ya pili imetoa wachezaji 6 ambao ni Shomari Kapombe, Mohammed Zimbwe, Henock Inonga, Muzamiru Yassin, Claotus Chama na Saido Ntibazonkiza. Yanga ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu Bara wametoa wachezaji…

Read More