>

FEISAL NI AZAM FC MIAKA MITATU

FEISAL Salum, Zanzibar Finest anakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa ndani ya Azam FC. Nyota huyo anaibuka ndani ya Azam FC akitokea Yanga ambapo alikuwa na mkataba unaogotea ukingoni 2024. Ni mkataba wa miaka mitatu amesaini ndani ya Azam FC inayoshiriki Ligi Kuu Bara pia Juni 12 itacheza fainali Kombe la Azam Sports Federation itakuwa dhidi…

Read More

LIONEL MESSI KUTUA INTER MIAMI

INAELEZWA kuwa Lionel Messi anakaribia kujiunga na Klabu ya Ligi Kuu ya Soka ya Inter Miami wakati mkataba wake na Paris Saint-Germain, (PSG) utakapomalizika mwishoni mwa mwezi. Nyota huyo wa Argentina alikuwa amepokea ofa nono za kumfuata Cristiano Ronaldo hadi Saudi Arabia msimu huu wa joto na Barcelona nao wakitaka kumsajili tena. Lakini mchezaji huyo…

Read More

DODOMA JIJI YAIPIGIA HESABU RUVU SHOOTING

UONGOZI wa Dodoma Jiji  FC umeweka wazi kuwa  mchezo wao wa mwisho dhidi ya Ruvu Shooting  unaotarajiwa kupigwa Juni  9 Uwanja wa Jamuhuri, Morogoro wataingia kwa tahadhari kuwakabili. Timu hiyo imekusanya pointi 34 baada ya kucheza mechi 29 nafasi ya 10 vinara ni Yanga wenye pointi 74 kibindoni. Yanga wao kete yao ya mwisho itakuwa…

Read More

MGHANA HUYU AINGIA ANGA ZA YANGA

COLLINS Opare nyota wa Dodoma Jiji anatajwa kuwa kwenye hesabu za kusajiliwa na Yanga kwa ajili ya kuongeza makali kwenye safu ya ushambuliaji. Raia huyo wa Ghana ni miongoni mwa washambuliaji wenye mchango mkubwa ndani ya Dodoma Jiji akiwa ametupia kambani mabao 9. Kwenye mchezo uliopita dhidi ya Namungo wakiwa ugenini bao pekee la ushindi…

Read More

ISHU YA FEI TOTO IMEFIKIA HAPA

IMEELEZWA kuwa Yanga na Feisal Salum wamekutana kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan ambaye aliweka wazi kuwa angependa kuona mgogogoro baina ya taaisis na Fei Toto unamalizika. Rais Samia aliwaambia Yanga kwenye hafla ya pongezi ya kutinga fainali Kombe la Shirikisho Afrika na kuwa washindi wa pili Juni 5 kuwa ni aibu kuwa kwenye…

Read More