YANGA WAKIMALIZA DINNER KUIBUKIA MBEYA NA NDEGE MAALUMU

INJINIA Hersi Said, Rais wa Yanga amesema kuwa watandoka na ndege maalumu leo Juni 5 kuelekea Mbeya ikiwa imelipiwa na Serikali. Yanga baada ya kufika fainali na kumaiza kwa ushindi dhidi ya USM Alger licha ya kushindwa kutwaa ubingwa walicheza mchezo wa ushindani katika kusaka nafasi ya kutwaa ubingwa lakini malengo hayakutimia. Kutokana na hayo…

Read More

MZEE WA KUCHETUA AIVURUGA SIMBA

BERNARD Morrison kiungo wa Yanga ameivuruga rekodi yake aliyoiweka akiwa ndani ya Simba kwa kuandika rekodi nyingine ndani ya Ligi Kuu Bara. Rekodi zinaonyesha kuwa Morrison alipokuwa ndani ya Simba alipogotea kwenye dakika 699 alifunga bao moja na kutengeneza pasi mbili za mabao huku akiwa ndani ya Yanga akiwa amepukutusha dakika 692 katupia mabao matatu…

Read More

NABI APIGA HESABU ZA DAKIKA 180

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema kuwa wachezaji wake wana kazi kwenye mechi mbili zilizobaki kupata matokeo mazuri. Yanga imetwaa ubingwa ikiwa na pointi 74 baada ya kucheza mechi 28 kwenye ligi na imepoteza mechi mbili pekee dhidi ya Ihefu na Simba. Mechi mbili ambazo zimebaki ni dhidi ya Mbeya City inayotarajiwa kuchezwa juni…

Read More

KOCHA SIMBA AMKOMALIA ONYANGO

ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa ni wakati wa mabeki wa timu hiyo kuongeza umakini na kutimiza majukumu kwa wakati kwenye mechi watakazocheza. Ipo wazi kwamba Simba imepishana na ubingwa wa ligi ambao upo mikononi mwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Yanga pia imecheza fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika wakigotea…

Read More

YANGA KUREJEA KIMATAIFA WAKIWA IMARA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa utarejea kwenye mashindano ya kimataifa wakati mwingine ukiwa imara zaidi. Timu hiyo kutoka Tanzania imeandika rekodi nzuri ya kucheza fainali kwenye Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa ni ya kwanza kutoka Tanzania kufanya hivyo. Imegotea kuwa mshindi wa pili baada ya ushindi wa jumla ya Yanga 2-2 USM Alger kuwabeba…

Read More