BEKI WA KAZIKAZI AMEANZA KAZI SIMBA
BEKI wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Simba ambaye amekuwa nje ya uwanja kwa muda Mohamed Ouattara hatimaye ameanza mazoezi. Nyota huyo hakuwa fiti baada ya kupata maumivu alipokuwa kwenye majukumu yake. Alikuwa miongoni mwa nyota waliopata nafasi ya kucheza mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Katika mchezo…