HUYU HAPA BOSI MPYA MITAA YA MSIMBAZI

MKUU wa Programu za Vijana wa kikosi cha Simba, Patrick Rweyemamu amesema kuwa ili kufikia malengo kwenye anga la michezo ni lazima kuwepo na uwekezaji kwa vijana. Miongoni mwa vijana waliopita ndani ya Simba ni pamoja na Ibrahim Ajibu aliyepata nafasi ya kucheza Yanga, Jonas Mkude, Said Ndemla hawa walikuwa wanatajwa kuwa kwenye hesabu za…

Read More

SIMBA KUJA KIVIGINE TENA MASHINDANO YAJAYO

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa utakuja kivingine ndani ya msimu mpya wa 2023/24 kwa kuleta wachezaji wenye sifa ya ushindani na kutafuta matokeo bila kukata tamaa. Katika anga la kimataifa wamegotea hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika na watani zao wa jadi Yanga wapo hatua ya fainali Kombe la Shirikisho Afrika. Kwenye ligi…

Read More

WAARABU WAKOMAA A FISTON MAYELE

LICHA ya kupoteza mchezo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika Jumapili Mei 28,2023 ubao wa Uwanja wa Mkapa uliposoma Yanga 1-2 USM Alger, jina la mshambuliaji Fiston Mayele lipo mikononi mwa Waarabu. Juni 3,2023 mchezo wa fainali ya pili unatarajiwa kuchezwa na mshindi wa jumla atasepa na taji hilo kubwa Afrika. Mayele…

Read More

NAMUNGO HESABU ZAO ZIMEKAA HIVI

KOCHA Mkuu wa Namungo FC Dennis Kitambi amesema kuwa wanaimani kubwa ya kupata matokeo mazuri kwenye mchezo ujao wa ligi dhidi ya Dodoma Jiji Timu ya Namungo mchezo wake uliopita ilishinda mbele ya Azam FC kwa mabao 2-1 mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Inatarajiwa kucheza na Dodoma Jiji, Juni 6 Uwanja wa Majaliwa ikiwa…

Read More

SOPU KUIBUKIA TANGA, MKWAKWANI

NYOTA wa Azam FC, Abdul Suleiman Sopu anatarajiwa kurejea kwa mara nyingine tena ndani ya Tanga, Uwanja wa Mkwakwani kupambania uzi wa timu yake dhidi ya Yanga. Sopu aliibuka ndani ya Azam FC akitokea Coastal Union na kwa sasa yupo zake ndani ya Azam FC akipambania majukumu yake. Azam FC itapambana na Yanga kwenye mchezo…

Read More