SportsVIDEO:KUMBE YANGA WANAJUA MBINU NA UBORA WA WAARABU Saleh2 years ago01 mins BEKI wa Yanga Dickson Job ameweka wazi kuwa wanatambua ubora wa wapinzani wao USM Alger na wamejiandaa kufanya kazi nzuri kwenye kuzuia kesho mchezo wa hatua ya fainali Kombe la Shirikisho Afrika, Uwanja wa Mkapa Post navigation Previous: YANGA WAPENI FURAHA WANANCHI INAWEZEKANANext: WASIWASI DAWA, WAARABU SIO WA KUWABEZA