Skip to content
- Home
- 2023
- May
- 20
- TUZO LIGI KUU BARA KIVUMBI TUPU,PILATO WA SIMBA V YANGA NDANI
KAMATI ya Tuzo ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzaniam (TFF) imefanya uteuzi wa washiriki katika makundi mbalimbali ya Tuzo hizo.
Ni makundi matano ambayo ni Tuzo ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation
Tuzo za Ligi Kuu ya Wanawake
Tuzo za Ligi Kuu Bara
Tuzo za Utawala
Tuzo za Ligi nyingine
Hizi ni tuzo za Ligi Kuu Bara
Mchezaji bora
Mzamiru Yassin wa Simba
Fiston Mayele wa Yanga
Djigui Diarra wa Yanga
Saido Ntibanzokiza alianza na Geita Gold sasa yupo Simba
Kipa bora
Aishi Manula wa Simba
Benedict Haule wa Singida Big Stars
Beki bora
Dickson Job wa Yanga
Henock Inonga wa Simba
Bakari Mwamnyeto wa Yanga
Shomari Kapombe wa Simba
Mohamed Hussein wa Simba
Kiungo bora
Bruno Gomes wa Singida Big Stars
Mzamiru wa Simba
Stephan Aziz KI wa Yanga
Clatous Chama wa Simba
Ntibanzokiza
Kocha bora
Nasreddine Nabi wa Yanga
Hans Pluijm wa Singida Big Stars
Roberto Oliveira wa Simba
Mchezaji Chipukizi
Clement Mzize wa Yanga
Edmund John wa Geita Gold
Lameck Lawi wa Coastal Union
Meneja bora wa uwanja
Omari Malule Uwanja wa Highland Estate, Mbeya
Hassan Simba Uwanja wa Liti, Singida
Amir Juma wa Uwanja wa Azam Complex Dar
Kikosi bora kitatangazwa siku ya tarehe ya Tuzo
Timu yenye nidhamu
KMC
Ruvu Shooting
Tanzania Prisons
Mwamuzi bora
Jonesia Rukyaa kutoka Kagera
Tatu Malogo kutoka Tanga
Ramadhan Kayoko kutoka Dar
Mwamuzi msaidizi bora
Mohamed Mkono kutoka Tanga
Frank Komba kutoka Dar
Janeth Balama kutoka Iringa