BRIGHTON WAWAPIGA WASHIKA BUNDUKI

BRIGHTON hawana kazi ndogo palepale wakiwa ugenini wamemtungua Arsenal na kusepa na pointi tatu mazima mbele ya washika bunduki.

Ni Julio Enciso dakika ya 51, Deniz Undav dakika ya 86 na Pervis Estupinan dakika ya 90+6 alitupia kambani.

Ilikuwa Uwanja wa Emirates wakati kazi hiyo ikipigwa ñdani ya dakika 90.

Arsenal inabakiwa na pointi 81 nafasi ya pili vinara ni Manchester City wenye pointi 85 na wamecheza mechi 35.Brighton nafasi ya 6 pointi 58 kibindoni.