
YANGA BINGWA TENA
BAADA ya kupata ushindi leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara rasmi Yanga wanakuwa ni mabingwa wa NBC Premier League. Unakuwa ni ubingwa wa 29 tangu kuanzishwa kwake ikiwa ni historia kubwa na nzuri kwa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi, Yanga wamefikisha pointi 74 ambazo hamna timu yeyote inaweza kufikisha ni baada…